Wednesday, November 30, 2016

WIZ KHALIFA AMSHAURI KANYE WEST AVUTE BANGI APONE UNGONJWA WA AKILI UNAOMSUMBUA


Mwana hip hop asiyeisha vituko kutoka marekani Wiz khalifa jana ametoa kali baada ya kutoa maoni yake juu ya ugonjwa unaomsumbua Produza na rappa mwenzake kanye west ambaye anasumbuliwa na ugongwa wa akili.

Wiz baada ya kuulizwa akadai aa mi namshauri tu avute bangi kidogo na ataona akili yake itakuwa nzuri tu.Unaweza kuitizama video hiyo hapa chini alipokuwa akihojiwa na tmz

No comments:

Post a Comment