Wednesday, November 23, 2016

HAYA NDO MAJIBU YA MMY DIMPOZ BAADA YA DIAMOND KUDAI ALISHAMPIGIA SIM AKAKATA

Ommy dimpoz mkali kutoka poz kwa poz amefunguka baada ya diamond  kumchana yeye pamoja na King kiba leo kupitia kipindi cha xxl.

B 12 Alimuuliza diamond vip swala lenu wewe na ommy inakuaje na litaishi lini Lakini diamond akasema me sina neno na mbona ommy alishatuma watu kibao tu kuniomba msamaa na alishawai kunipigia sim mi nikaitizama tu maana niliona nkipokea ntaongea nae nini sasa.

Baada ya hayo ommy dimpoz alitumia ukurasa wake wa twitter na kuandika haya
2h2 hours ago
Aisee kumbe kila siku unavyonibembeleza tuyamalize na Mwana kumbe nakutuma πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ kweli nyie profeshenooo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
34 replies 55 retweets 79 likes


Pia akatuma nyingine na kuandika

 Wazee Naombeni Kipindi Kesho πŸ˜‚πŸ˜‚

No comments:

Post a Comment