Monday, November 7, 2016

JACOB ZUMA ADAI HAOGOPI KWENDA JELA.


Raisi wa Africa kusini mzee Jacob Zuma amedai haogopi kwenda jela siku chache tu baada ya uchunguzi kubaini kuwa kunaushahidi wa ufisadi katika serikali yake.

Hii ni mara ya kwanza kwa raisi huyo kujitoa hadharani tangu ripot moja ya ufisadi kutaka wanaohusika kushtakiwa.

Bwana Zuma mwenye umli wa miaka 74 anatuhumiwa na uhusiano mbaya na mfanyabiashara mmoja tajiri ingawa amekana kufanya makosa yoyote.

Maelfu ya watu walifanya maandamano na kumtaka bwana zuma ajiuzuru.



No comments:

Post a Comment