Wednesday, November 30, 2016
ALLY KIBA AMPA DONGO DIAMOND ALIPOKUWA SERENGETI KUWA ANAWAONA SIMBA ORIGINAL
Mkali kutoka bongo Ally kiba amechafua hali ya hewa kwenye mitandao ya kijamii baada ya kupost maneno mbali mbali ambayo yameonekana kuwa ni dongo kwa asimu wake diamond.
Juzi alipost picha akiwa amevaa pete ya kijani ambayo diamond aliongea majuzi kipindi anahojiwa na kusema ye havai pete za kijani ye anavaa almas,dhahabu na kadhalika.
Jana tena ally kiba alipost picha anaangalia simba na kuandika kuwa anaangalia simba orgnal ambalo ilionekana nidongo kwa diamond ambalo anajiita simbaaa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment