Raisi Baraka Obama anategemewa kuondoka ikulu wenyewe wanapaita WHITE HOUSE Mapema mwanzoni mwa mwaka 2017 lakini hataenda mbali sana na maeneo hayo.
Obama amesema kuwa siku ya alhamisi familia yake itahamia mjini washington huku mwanae wakike Sasha akimaliza shule katika Elite Academy.
Sio rahisi kwa maraisi wa marekani kumaliza mihula yao na kuendelea kuishi mji mkuu
Woodrow Wilson ambaye alihudumu kama raia mwaka 1913 hadi 1921 ndo alikuwa wamwisho kufanya hivyo
Hata hivyo familia ya Obama inapanga kuishi kwa Muda nchini Chicago ambapo familia inanyumba na bibie michele obama anafamilia huko
Obama pia anaimarisha maktaba yake nchini chicago BBC Swahili wameripot
No comments:
Post a Comment