Sunday, November 6, 2016

SPKA MSTAAFU MZEE SAMWELI SITTA AFARIKI DUNIA UJERUMANI

Aliyekuwa Spka wa bunge la muungano wa Tanzania mzee Samweli sitta amefariki dunia leo hii alfajiri alipokuwa kwenye matibabu nchini ujeruman

Taarifa iyo imetolewa na spka wa bunge  Job ndugai leo na kudai kuwa mzee sitta AMEFARIKI DUNIA ASUBUI YA LEO KATIKA HOSPITALI YA TECHNICAL UNIVERSITY OF MUNICH Nchini ujerumani.

Raisi Jonh pombe magufuli ametuma salam za rambi rambi kwa spika wa bunge na amesema amepokea taarifa hiyo kwa mshtuko mkubwa sana na kusema tanzania tumempoteza mtu wa muhimu sana na ametoa mchango mkubwa sana wa maendeleo katika taifa hili la Tanzania.

Mkatavi.com tunatoa salam za rambirambi kwa familia ya mzee sitta,NA MUNGU HAIWEKE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA.

No comments:

Post a Comment