Mwanamama kutoka bukoba Saida kalori amefunguka kuwa boss wake wa zamani Mutta amemzurumu diamond kwa ule mkataba waliowekeana juu ya wimbo wa saida aliourudia miezi miwili iliyopita.
Sasa unaweza kuitizama video hiyo hapo juu na umsikie saida alichoongea
No comments:
Post a Comment