Mwanadada anayekimbiza mpaka sasa kwenye mitandao mbali mbali kwa habari zake za hapa na pale Wema sepetu Bado anazidi kulalamika kila kukicha kudai mungu ambariki ampe mtoto angalau mmoja tu.
Wema amelionesha hilo jumamosi hii alipokuwa uwanja wa ndege na kukutana na msichana mwenzake akiwa na mtoto mzuri na kuomba kumbeba na kuonesha kufurahia sanakuwa na mtoto huyo.
Na wema bado anaonesha kuwapenda sana watoto wadogo popote pale akikutana nao aishi kuwabeba na kucheza nao.Mkatavi.blogspot tunamwombea tu kwa mungu na asikate tamaa ipo siku mungu atamshika mkono.
No comments:
Post a Comment