Bado mchakato mkari unaendelea nchini marekani kwenye uchaguzi mkali unaoendelea kati ya Trump na mwanamama Hillal clinton.Mpaka dakika hii tunaenda hewani Trump anaongoza majimbo mengi sana muhimu katika nchi hiyo.
Majimbo anayoongoza Trump ni Alabama,kentucky,south carolina,Nebraska,indiana,west virginia,misisipi,tennesse,oklahoma,texas,na miji mingi mingine.
Kwasasa TRUMP Anakura 254 na Clinton anakura 218 na zinaitajika kura 270 tu mshindi atangazwe.
No comments:
Post a Comment