Dunia hii lila kukicha ukiamka salama inabidi ushukuru mungu sana na nchini mwako hasa tanzania hapa kwetu tunavyojivunia nchi amani inabidi kweli kwa moyo mmoja tuombe mungu azidi kutudumishia amani hii.
Kwa nchi za wenzetu sio shwari kabisa hasa hii iliyotokea nchini palestina washambuliaji walivyoshambulia watu waliokua pembeni mwa bahari yani bich nakuuwa watu wengi ambao wengi wao niwatoto wadogo.
Mungu azilaze peponi roho za watoto hawa.
No comments:
Post a Comment