Saturday, November 12, 2016
WAJUE WAKE NA WATOTO WA RAISI MTEULE WA MAREKANI DONALD TRUMP
Raisi mteule wa marekani bwana Dolnad Trump ambaye pia nimfanyabiashara mkubwa sana nchini marekani ambaye kwasasa anatikisa katika vyombo vya habari hasa nchini marekani ambako mpaka sasa leo nisiku ya tatu kumekuwa na maandamano ambayo yanapinga ushindi wake mnono alioupata.
Sasa leo tumekuandalia ka histori kafupi tu ambako kanahusu familia yake wakiwamo watoto na wake zake.
MELANIA TRUMP.ndiye mke wake ambaye ni mwanamitindo wa zamani ambaye aliolewa na Mzee Trump mwaka 2005 januar ndo yeye alijitokeza hadharani kipindi cha kampeni na kumtetea mme wake kwa kashfa ya kuwadhalilisha wanawake.
BARRON TRUMP.ndiye mwana wa pekee wa Trump aliyezaa na mke wake huyu wa sasa Melania na anaumri wa miaka kumi,kijana huyu anaonekana mara kwa mara akicheza gfofu na baba ake na inasemekana anaongea sana kislovenia.
IVANKA TRUMP.ndiye mwana wa Trump ambaye alizaliwa na mke wa kwanza wa Trump na binti huyu inasemekana ndio anayejulikana sana na watu kwasasa ni makamu wa raisi wa shirika la TRUMP ORGANISATION Na pia jaji katika kipindi cha runinga cha babaake cha the Appentice.Ameolewa na myahudi JERAL na anawatoto wa tatu.
TIFFANY TRUMP.nimtoto wa mke wa pili wa Trump aitwae Malra ambaye alikuwa muigizaji wa kipindi cha tv.Binti huyu alizaliwa mwaka 1993 anapendelea sana mitandao ya kijamii hasa instagram.
ERICK TRUMP.naye ni mtoto wa tatu wa Trump na IVANA pia nayeye ni Makamu wa raisi kwenye kampuni ya babaake ya TRUMP ORGANIZATION na anasimamia club za gof za Trump na anamiliki kampuni yake inayoitwa ERICK TRUMP FOUNDATION
DOLNAD TRUMP.JR.ndiye mwana wa kwanza wa mzee Trump ambaye alizaa na mke wake wa kwanza naye ni makamu wa raisi mtendaji wa kampuni ya babaake ya Trump organisation ameoa na anawatoto watano.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment