Monday, November 14, 2016

HIZI NDIZO SABABU ZA WAZIRI MKUU WA DRC CONGO KUJIUZURU MAPEMA LEO

Waziri mkuu wa DRC Bwana Agustin matata ponyo leo hii mapema asubuhi ametangaza kujiuzuru nafasi yake ya uwaziri mkuu ameamua kujiuzuru mapema leo ili kuacha serikali ya mpito na kumuachia mrithi wake kuendelea na jukumu hilo.

Kujiuzuru kwa waziri huyo ni kutokana na makubariano ambayo yalifanywa mwezi uliopita kati ya serikali na baadhi ya vyama vya upinzani na kuhairisha uchaguzi mpaka April mwaka 2018.

No comments:

Post a Comment