Tuesday, November 8, 2016

DOLNALD J TRUMP ASHINDA URAISI NCHINI MAREKANI

Dolnald J Trump ametangazwa ndiye mshindi wa uchaguzi mkuu uliokuwa unaendelea nchini marekani kwa kumgalagaza mama Clinton kwa kura nyingi sana

Dolnald Trump ameweza kufikisha kura 270  na zaidi za wajumbe ambazo zilikuwa zinaitajika kura 270 tu.Trump amezifikisha na zinaendelea kuongezeka tutazidi kuwajuza kadri mambo yatakavyoendelea.

No comments:

Post a Comment