Waziri mkuu mstaafu Mzee Erdwad Lowasa ametoa ufafanuzi kwanini hakuwepo kwenye msiba wa Spika mstaafu mzee sitta pamoja na waziri wa elimu mstaafu mzee Mungai.
Sitta alifariki nchini ujerumani alipokuwa ameenda kutibiwa tezi dume na mnamo tar 7 november alifariki na baada ya siku moja mbele Mzee mungai naye alifariki.
Sasa waziri mkuu huyo mstaafu mzee Lowasa alisema kuwa yeye hakukwepa misiba hiyo ila alikuwa nchini Africa kusini alikwenda kumuona dada yake Bahati Lowasa alikuwa mgonjwa.
No comments:
Post a Comment