Jiwe ambalo inasemekana ndo jiwe ambalo liliandikwa Amli kumi za mungu ambalo liligunduliwa mnamo mwaka 1913 limepigwa mnada nchini marekani.
Jiwe hilo lenye urefu wa sentimita 60 lililoandikwa kwa lugha ya kiyahudi limeuzwa katika masoko ya mnada huko LA nchini marekani kwa masharti kuwa litawekwa kwa uma liwe linaonekana
Jiwe hilo liligunduliwa wakati wa utengenezaji wa reli karibu na mji wa Yavneh nchini israel.
Wauzaji wanasema jiwe hilo ni lakutoka 300 na 500 ya AD
aMRI AMBAYO HAIONEKANI KWENYE JIWE HILO NI ile ambayo inasema usitumie jina la mungu wako pasipo stairi
amii ya Samaria ina historia ndefu eneo la Mashariki ya Kati, licha watu hao kutoweka hadi chini ya watu 1000 miaka ya hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment