Sunday, November 13, 2016

KAMA UNAWAZA KUONGEZA MAKALIO TIZAMA PICHA HIZI KWANZA



Kwa wale kinadada wanaopenda kushindana na mungu baada ya kupewa umbo ambalo halipendi na kutamani umbo la shosti wake na kujidanganya kutafuta madawa ya kichina na kuongeza makalio na hipsi sasa mnatakiwa kuwa makini sana kwani madhara yake nimakubwa sana.

Majanga hayo yamemkuta buinti huyo kwenye picha baada ya kutaka kuongeza hips pamoja na makalio sasa kilichomkuta ndo hivyo kama unavyomuona.

Mnashauriwa kama mnatamani maumbo hayo nendeni kwenye gim mbalimbali wakuteni wataalam wawape maelekezo yakufanya mazoezi na jinsi ya kucheza na chakula.

No comments:

Post a Comment