Sunday, November 13, 2016

DOLNAD TRUMP ASEMA,SIITAJI HATA DOLA MOJA KWENYE MSHAHARA WANGU

Mfanyabiashara mashuhuli nchini marekani ambaye kwasasa ni Raisi mteule aliyechaguliwa kwa kishindo kikubwa na kuacha watu wengi midomo wazi Dolnad Trump amesisitiza ahadi yake ya kutokuchukua mshahara wowote katika mshahara ambao anastaili kuupokea kama raisi.

Kwamujibu wa jarida maarufu la FORBES Liliripot kuwa Raisi huyo mteule anamiliki kiasi cha dola Bilioni 3.7 za kimarekani sawa na trilioni 8 za tanzania.

Pia raisi huyo amedai kuwa katika kipindi chote cha kampeni alikuwa akigaramia kila kitu yeye mwenyewe kuanzia chakula usafiri mpaka maradhi.


No comments:

Post a Comment