Baada ya kuachana na mtangazaji maarufu hapa bongo tz Gadna G Habashi mwanadada Judith Wambura aka Lad jay dee ameonekana na mpenzi mpya ambae inasemekana ndo mpenzi wake wasasa.Na inasemekana wawili hao wamefunga ndoa ya kimya kimya na kwasasa wapo zanzibar kwa mapumziko.
No comments:
Post a Comment