Mwezi wa 12 tar 24 lebo ya mziki hapa bongo WCB inategemea kuangusha bonge la shoo ambalo litatumbuizwa na wasanii wote wa WCB Akiwamu Bos wao mwenyewe chibu dangote.
Sasa kunafununu kama wakali hao watamleta mrembo kutoka US Umber Lulu kuja kuhost hiyo shoo,Meneja wa Diamond amesema tukae mkao tu wakula mambo mazuri yanakuja.
No comments:
Post a Comment