Wednesday, November 9, 2016

WILL SMITH AFIWA NA BABA YAKE MZAZI


Staa anayekimbiza kwa sasa kwa kutengeneza sinema kali za action yeye pamoja nawatoto wake wawili pamoja na mke wake Will Smith jana amefiwa na baba yake mzazi ambaye anajulikana Willard Carall ambaye alikuwa akiishi Philladephia nchini marekani.

No comments:

Post a Comment