Wednesday, November 9, 2016

ALLY KIBA AMERUDISHIWA TUZO YAKE WIZ KID ALIPEWA KIMAKOSA

Tuzo za MTVEMMA Zilizofanyika wiki iliyopita ambapo king kiba alikuwa akiwania tuzo hiyo alikosa na akatangazwa wizkid kutoka nchini nigeria ingawa kwenye mitandao ilikuwa inaonesha Ally kiba ndo anaongoza kwa kupigiwa kura nyingi.

Sasa jana uongozi wa Ally kiba ulisema kuwa wamepata taarifa kuwa tuzo hiyo waliitoa kimakosa na Ally kiba ndio alishinda tuzo hiyo ila kunamakosa yalitokea na wameshaweka mambo sawa kwaiyo Ally kiba anakabidhiwa tunzo hiyo mda wowote.

No comments:

Post a Comment