Mkali kutoka Mara Tanzania Best naso ameachia ngoma yake mpya inayoitwa wema sepetu,Mkali huyo aliyetamba na nyimbo ya tuma linga amedai ngoma hiyo ameiandika kwa hisia sana na anataka mashabiki zake waisikilize na waisapot.
Kusikiliza na kudownload nyimbo hiyo ingia www.mkito.com
No comments:
Post a Comment