Sunday, November 13, 2016

TID MNYAMA AWAMAIND CLOUDS FM ATISHIA KUWAPELEKA MAAKAMANI

Mkali kutoka kiwanda cha bongo freva aliyetamba miaka ya nyuma na kibao chake cha zeze anayetokea kinondoni Tid Mnyama ametoka mapovu na kudai clauds fm imeuza nyimbo yake kimakosa bila kumtaarifu yeye mwenyewe.

Akitumia ukurasa wake wa Instagram bwana Tid aliandika kuwa 

HII NI DHULUMA YA WAZI WAZI HUU WIMBO UMEFANYIKA KWELI CLOUDS MALIPO YOTE YAMELIPWA CLOUDS....BRAZA RUGE NAOMBA HELA ZANGU hivi Clouds FM mshawahi Kutenengeneza Zeze Song. .!? I WANT MY MONEY SHOW ME CONTRACT naomba Haki Yangu Sikuogopi I want Clouds FM kwa Kudanganya hivi wanilipe Milioni Mia Tano ....Ushapata Pesa Nyingi Sana Hauna Haja ya kuendelea,My Legal Team is Ready to Bring this Fake Institution Down
Akaongeza Kwa Kuandika
"MY Mentor @majani187 in any other way did you Produced this Song in clouds Fm Studio?....? Mimi nataka kulipwa Haki Yangu siwezi kukubali"

No comments:

Post a Comment