Saturday, November 19, 2016
MASKINI TIZAMA DADA HUYU ASHIKWA NA MADAWA YA KULEVYA KWENYE MIMBA BANDIA.
Kila siku inapoanza serikali dunia nzima huwa inawaza nijinsi gani itapambana na madawa ya kulevya na waujazi wa madawa hayo nao hawakati tamaa kutafakari ni njia gani watatumia ili kuweza kukabiliana na serikali kuweza kuvusha madawa HAYO.
Sasa hii imetokea jana mwanadada mmoja mkazi wa Canada ameshikwa na polisi nchini colombia uwanja wa ndege akiwa amevaa mimba bandia kumbe ndani yake ameweka madawa ya kulevya.
Polisi wanadai kuwa walimshtukia na kuona iyo mimba mbona sio ya kawaida na kuamua kumsachi na kugundua anamadawa hayo yenye thamani kubwa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment