Katika haya maisha kila mtu ananjia zake alizopita kabla ya kufika hapo alipo Sasa Waziri wa mambo ya ndani Mweshmiwa MWIGULU NCHEMBA Leo ameshea nasisi picha ambayo anaonesha maisha magumu aliyopitia nyumbani kwao huko iramba singida.
Kwenye picha hiyo kama inavyoonekana waziri huyo anaonekana akiwa na Rasta na mwili wake ukiwa mdogo sana tofauti na sasa alivyo na hakusita kuacha ujumbe baada ya kupost picha hiyo.
No comments:
Post a Comment