Wednesday, November 9, 2016

OBAMA AMPONGEZA TRUMP AMUALIKA IKULU

Raisi Baraka Obama wa Marekani amechukua nafasi na kumpongeza Raisi mteule D Trump kwa ushindi mkubwa alioupata.Raisi obama amemwandikia barua na kumualika ikulu kwa maongezi zaidi unaweza kusoma barua hiyo hapa chini.

No comments:

Post a Comment