Thursday, November 17, 2016

TIZAMA VIDEO MWIZI ANASWA AKIIBA KANISANI BILA AIBU KABISA

Unapoambiwa dunia imefika mwisho watu wanamaanisha kweli maana jumapili iliyopita watu wamemnasa kijana mmoja akifanya wizi katika ibada bila woga wala haibu yeyote.Unaweza kutizama video hiyo hapo juu ukajionea mwenyewe unapoambiwa dunia imekwisha.

No comments:

Post a Comment