Monday, November 7, 2016

UNAAMBIWA SUMU YA NYOKA MWEUSI NI DAWA YAKUMALIZA UCHUNGU

NYOKA Anayejulikana kama Brue coral ndiyo mwenye sumu kali na hupatikana zaidi kusini mashariki mwa bara la asia.

Utafiti wa wanasayansi wanasema kuwa sumu ya nyoka huyo wanatazamia kuitumia kupata dawa ya kupunguza uchungu.

No comments:

Post a Comment