Nyumba hii inauzwa bei nzuri sana ipo mwanza maeneo ya kiloreli maduka tisa karibu na shule ya tabasamu kunanjia nzuri sana gari inafika mpaka mlangoni inavyumba vitatu vya kulala sebure master moja stoo pamoja na jiko.
changamkia bei ni maelewano tu piga 0782737636,au 0788372692 kwa mawasiliano zaidi
No comments:
Post a Comment