Fidel Castro alizaliwa mwaka
wa 1926, azaliwa mkoa wa kaskazini mashariki wa oriente nchini Cubana
tajiri wa ukuzaji wa miwa.
Baada ya miaka miwili jela
kwa kuongoza mapinduzi yaiyotibuka, alienda mafichono nchini Mexico.
Mwaka 1956 alirudi na chama chake cha mapinduzi kikaongoza.Castro
mwishowe akapata mamlaka ya kuiongoza Cuba tarehe 1,mwaka 1959,kama
waziri mkuu kwa kumshinda Fulgencio Batista.
AP
No comments:
Post a Comment