Wamarekani wameshaanza vituko baada ya mama clinton kushindwa uchaguzi mkuu ambao baba la baba Trump amempiga chini mama huyo.
Sasa wamarekani wameanza kuedit picha ambazo zinamuonesha obama akiwa chini ya ulinzi,Ila haina maana ndo itakuwa hivyo ni mambo ya mtandao tu ambayo hayana tija yeyote.
No comments:
Post a Comment