Thursday, November 17, 2016

MASKINI TIZAMA KIJANA MDOGO ALIVYOCHOMWA MOTO MPAKA KUFA KISA WIZI.

Kijana mdogo mwenye umli wa miaka saba tu amejikuta akiingia matatizoni kwa kuchomwa moto mpaka kufa baada ya kukutwa na hatia ya wizi wa vifaa vya gari dukani.

Tukio hilo limetokea nchini nigeria mjini lagos ambapo kijana huyo alishikwa na kupewa kipondo cha maana ila kunawasamalia wema aliwapigia polisi waje kumuokoa dogo huyo lakini inasemekana polisi walichelewa kufika eneo la tukio na teyari dogo alikuwa ameshakufa teyari

Angalizo tu sio vema kabisa kuchukua sheria mkononi hasa kwa kijana mdogo kama huyu ambaye anastaili kuishi na awe na familia baadae kama tatizo mchukue mpeleke kwenye vyombo vya sheria sio kumfanyia unyama kama huo.

No comments:

Post a Comment