Jach chan ni miongoni mwa wacheza filamu mashuhuli sana hapa duniani na anamiaka 50 ndani ya game lakini hakupewa tuzo yeyote ya heshima kama wengine ndani ya hollywood.
Katikati mwa mwaka huu ilitangazwa kuwa staa huyu atapokea tuzo ya oscar kutokana na mchango wake mkubwa katika tasnia ya filamu duniani.
Akiwa sasa anamiaka 62 jack chan ameshacheza filamu 200.
No comments:
Post a Comment