Monday, November 7, 2016
NGUO YA NDANI YA MKE WA ALDOLF HITLER YAUZWA PAUND 2,900.
Nguo ya ndani ya mke wa aliyekuwa Diktecta wa Dunia Aldolf Hiltle imepigwa mnada wa paund 3000.
Nguo hiyo ya ndani ni miongoni mwa vitu vingi ambavyo vilipigwa mnada katika jumba la mnada la Phillip Serell huko Melvern.Pete ya dhahabu na kibox cha kioo kilichokuwa na lipsstik ya mke wake huyo aliyejulikana kwa jina la Eva Braun pia kiliuzwa.
Nguo hiyo ya ndani ilikuwa na kamba yenye mapambo ya maandishi ya jina la mama huyo Eva Braun.
Pete hiyo ya dhahabu iliyozungukwa na madini iliuzwa paund 1,250 na lipsstik iliuzwa kwa paund 360.Nawakati huo huo picha nyeupe na nyekundu za mama huyo na mumewe Hitrer pia ziliuzwa paund 100.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment