Saturday, November 19, 2016

RAISI MAGUFURI LEO AMETUMBUA JIPU JINGINE TRA

Raisi wa Tanzania Dr J.P Magufuri leo amefanya marekebisho mengine katika bodi ya TRA Na kumtumbua aliyekuwa Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya mamlaka ya mapato TRA Bwana Bernald Mchomvu na kuvunja bodi hiyo kuanzia leo November 20, 2016.

No comments:

Post a Comment