Mwanadada anayejulikana kwa jina la Leilani franco amekuwa kivutio sana katika nchi mbalimbali duniani kuwa na uwezo wa kuchezea mwili wake kama nyoka kwa staili mbalimbali.
Binti huyo mwenye uraia wa nchi mbili ufilipino na uingereza anauwezo wa kula kwa kutumia miguu na kucheza drafti kwa miguu kukuudumia chakula kwa miguu pamoja na mikono na pia anauwezo wa kutembea kwa kutumia mikono uku miguu ikiwa kama mikono.tizama picha hizo kwa undani zaidi.
No comments:
Post a Comment