Wednesday, November 9, 2016

UNAAMBIWA KUFIKIA 2025 WANAWAKE WENGI WATASHIRIKI MAPENZI NA ROBOTI


Wanasayansi nchini marekani wapo kwenye utengenezaji wa robot ambaye atakuwa na uhusiano na mwanamke.

Robot huyo atakuwa na uume kama mwanaume na atakuwa anatoa mbegu za kiume kama mwanaume unapofikan kileleni lakini mbegu hizo hazitakuwa na uwezo wa kumzalisha mwanamke.

Unaambiwa kwasasa bado robot huyo ajawa maarufu sana lakini inatazamiwa kufikia 2025 wanawake wengi watakuwa na uhusiano na robot huyo kutokana na mahusiano mengi kuvunjika na kujikuta kuzama mapenzini na robot huyo.

No comments:

Post a Comment