Timu ya TP Mazembe ya DRC CONGO Imechukua kombe la shirikisho la barani africa baada ya kuichapa Mo bejaia ya Algeria mabao 4 kwa 1 katika mchezo wa fainali ya pili.
Magoli mawili yamefungwa na Rainford kalaba na mengine yamefungwa na Bope na Jonathan na kuifanya tim hiyo kuondoka na ubingwa huo.
Sasa TP Mazembe watamenyana na washindi ligi ya mabingwa mamelod ya africa kusini kati ya februal 17 na 19 mwakani kuwania taji la Super cup ya cuf.
No comments:
Post a Comment