Mwigizaji mkongwe kutoka USA Marekani Samweli Jackson ambaye wiki mbili zilizopita kabla ya uchaguzi wa marekani aliahidi kuwa mfanya biashara mashuhuri nchini humo ambaye alikuwa anachuana na mama Hilary clinton mzee Dolnad Trup aka Magufuri kama wabongo wanavyomuita kwa sasa kuwa akishinda uchaguzi huo atahama nchini marekani na kuhamia south africa.
Sasa leo amegeuza kibao tena na kudai kutohama tena marekani na kuwamaind watu mbona wanamsema yeye tu aliandika hivi Why y’all so anxious for me to leave?! I pay More Taxes than All U Trumpafukkaz… Him too!!.”
No comments:
Post a Comment