Tuesday, November 15, 2016

JOSE KABILA ASEMA SITOWANIA URAISI TENA NAOMBA UTULIVU

Raisi wa DRC Ambaye ndio Raisi aliyeingia madarakani akiwa mdogo kuliko marais wote waliowai kutokea Africa bwana Joseph Kabila jana wakati akiutubia bunge aliongea na kuwasisitiza wabunge na wananchi wake kuwa hatagombea uraisi tena katika uchaguzi ujao.

Raisi huyo alisema kuwa “Kwa wale ambao wanaingilia kati maisha yangu ya siasa kila siku, nina sema asante lakini wafahamu ya kwamba Jahmuri ya Kidemorisia ya Congo ni nchi inayoongozwa na katiba hatujakiuka katiba na tutaendelea kuiheshimu. Kwa mda huu kilicho muhimu ni kuangalia maisha ya
wakongomani” Alisema Kabila.

No comments:

Post a Comment