Thursday, November 24, 2016

OMMY DIMPOZ AONGEA MENGI SANA KUUSU DIAMOND SOMA HAPA

Bifu kali ambayo toka jana diamond aliichokonoa na kuongea maneno mengi sana kuusu ally kiba na ommy dimpoz leo kupitia xxl ya clouds fm nae amefunguka mengi sana kuusu swala hilo.

Akiongea na mtangazaji wa clouds fm B 12 ommy alisema kuwa yeye hana tatizo lolote na diamond ila diamond yeye ndo alianza matatizo kwake omy dimpoz akijieleza kwa makini na kwa kujiamini alidai kuwa mimi nilishangaa kuona kama diamond ananipangua ivi taraatibu nikupe mfano mmoja kunakipindi diamond alikuja na akasema kuwa kunammoja wa watu wangu wameniambia nikae mbali nawewe maana naweza nikakupeleka kwa waganga wangu afu ntakupiga fimbo,aa mi nikamwambia diamond we nimtu mzima kwaiyo achana na maneno yao.

Hauikuishia hapo nakumbuka kunakipindi nilimpeleka diamond pale studio asikilize ngoma yangu akaisikiliza na nikampa wazo kwanini nisipige tarumbeta hapa diamond akasema aaa achana nalo,kesho yake nashangaa naenda pale nashangaa diamond kamchukua uyo mpiga tarumbeta na akampigia kwa nyimbo yake mi nikakausha,mambo mengi sana alikuwa ananificha sasa mi nikaona hapa kunatatizo ikabidi mi nijiongeze tu nione kuwa hapa mimi siitajiki kwa huyu jamaa basi nikaamua namimi nikae pembeni

Ommy dimpoz akasisitiza kabisa kuwa mi sina tatizo lolote na diamond ila niliamua kukaa tu pembeni maana niliona siitajiki.

No comments:

Post a Comment