Wednesday, November 30, 2016

NIMEKUSOGEZEA MAGAZETI YOTE YA LEO DESEMBER 1




























ALLY KIBA AMPA DONGO DIAMOND ALIPOKUWA SERENGETI KUWA ANAWAONA SIMBA ORIGINAL




Mkali kutoka bongo Ally kiba amechafua hali ya hewa kwenye mitandao ya kijamii baada ya kupost maneno mbali mbali ambayo yameonekana kuwa ni dongo kwa asimu wake diamond.

Juzi alipost picha akiwa amevaa pete ya kijani ambayo diamond aliongea majuzi kipindi anahojiwa na kusema ye havai pete za kijani ye anavaa almas,dhahabu na kadhalika.

Jana tena ally kiba alipost picha anaangalia simba na kuandika kuwa anaangalia simba orgnal ambalo ilionekana nidongo kwa diamond ambalo anajiita simbaaa

WIZ KHALIFA AMSHAURI KANYE WEST AVUTE BANGI APONE UNGONJWA WA AKILI UNAOMSUMBUA


Mwana hip hop asiyeisha vituko kutoka marekani Wiz khalifa jana ametoa kali baada ya kutoa maoni yake juu ya ugonjwa unaomsumbua Produza na rappa mwenzake kanye west ambaye anasumbuliwa na ugongwa wa akili.

Wiz baada ya kuulizwa akadai aa mi namshauri tu avute bangi kidogo na ataona akili yake itakuwa nzuri tu.Unaweza kuitizama video hiyo hapa chini alipokuwa akihojiwa na tmz

Monday, November 28, 2016

MWANADADA GIGY MONEY ASHINDA TUZO YA INSTAGRAM AWARDS.



CHANGAMKIA NYUMBA HII INAUZWA BEI NAFUU SANA SOMA MAELEZO ZAIDI.







Nyumba hii inauzwa bei nzuri sana ipo mwanza maeneo ya kiloreli maduka tisa karibu na shule ya tabasamu kunanjia nzuri sana gari inafika mpaka mlangoni inavyumba vitatu vya kulala sebure master moja stoo pamoja na jiko.

changamkia bei ni maelewano tu piga 0782737636,au 0788372692 kwa mawasiliano zaidi