Watafiti wa kimataifa wamefanya utafiti na kugundua kipindi hiki wanawake wamekuwa walevi sana kama au zaidi kabisa na wanawake.Ukaguzi wa watu milioni 4 waliozaliwa kati ya mwaka 91 mpaka 2001 umeonesha wanaume wanalewa zaidi na kuugua matatizo ya kiafya.Lakini kizazi cha sasa kimeziba pengo kwa utafiti wa sasa.
Utafiti uasema watu waliozaliwa mapema miaka ya 90 wamewazidi wanaume mara mbili katika swala la kulewa,na kulewa huko kunatokana na matatizo mbali mbali ikiwezo Tafaruku za mapenzi,maisha pamoja na mambo ya kuiga kwa wenzao bila sababu za msingi.
No comments:
Post a Comment