Wanasayansi wamegundua kunajiwe kubwa sana linaelea juu ya dunia,wanasayansi hao wametuma chombo na kugundua jiwe hilo lenye ukubwa wa kipenyo cha mita 500 sawa na urefu wa viwanja vitano vya mpira.
Jiwe hilo limepewa jina la BENNU Na wanawasiwasi kufikia 2135 jiwe hilo linaweza kugonga dunia,na kama litagonga dunia mlipuko wake niwasa na tani bilioni tatu za milipuko au sawa na mabomu 200 ya nyuklia.
No comments:
Post a Comment