Katika shindano lakumtafuta mlimbwende wa tanzania ambalo linafanyika leo,kumekuwa namaneno mengi sana mtaani kuwa nani ataondoka na taji hilo.Kila mtu amekuwa anatabiri anavyoweza sasa nasisi kama waandishi wa blog hii ya mkatavi.blogspot.com tumeamua nasisi tutoe maoni yetu.
Sisi kama waandishi wa mkatavi.blogspot tunatabiri kuwa GLORY STEPHEN Ndo anaenda kuondoka na taji hilo.Je we unamaoni yeyote/?Usisite kutuachia maoni yako hapo chini kumbuka mshindi atakae weza kutabiri mshindi wake atapata Shilingi efu kumi kutoka mkatavi.blogspot.com
No comments:
Post a Comment