HAWA NDO WAKALI WENGINE KUMI WALIOTAJWA LEO WATAKINUKISHA FISTA DAR.
Leo pia wametajwa wakali kumi watakao fanya mambo makubwa katika fiesta mwaka huu ambao ni Jay mo,juma nature,snura,barnaba,msami,jux,darasa,vanesa mdee,nandi pamoja na mwanadada maua sam.
No comments:
Post a Comment