HAWA NDIO WASANII WA KIMATAIFA WATASABABISHA FIESTA JUMAMOSI IJAYO DAR.
Toka majuzi redio clauds ilianza kuwatangaza wasanii ambao watapafom kwenye fiesta jumamosi ijayo ndani ya dar./.Sasa leo imekamilisha list hiyo kwa kuwataja wasanii wabongo na wa kimataifa watakaosababisha.
Ukianzia bongo wamemtaja YOUNG D,BELL 9.MR BRUE.SHILOLE,MAN FONGO,RAY VAN,MNAKO TO NAKO LOD EYES,PAMOJA NA ALLY KIBA.
Kwa upande wa kimataifa Wanamleta JOSE CHAMILEONE kutoka Uganda,TEKNO,na YEMI ALADE Kutoka Nchini Nigeria.
No comments:
Post a Comment