Mkari kutoka kiwanda cha tamthiria ya Siri za familia Haji Jumbe maarufu kwa jina la Mr Benson amefariki dunia jana jumatatu jioni.Marehemu alikuwa anasumbuliwa na tumbo toka majuzi na huenda ndo chanzo cha kifo chajke.
Mr benson aliigiza kama baba wa familia akiwa na mke mmoja na mtoto wao mmoja kama wanavyoonekana hapo juu kwenye picha.
Marehemu Benson amezikwa leo huko kwao Bagamoyo.
No comments:
Post a Comment