Wednesday, October 26, 2016

HUYU NDO MSICHANA WAKWANZA KIZIWI NA KIPOFU ALIYEMALIZA CHUO KIKUU.

Mwanadada Haben Girma kutoka USA Carlifornia ambaye hana uwezo wa kuona wala kusikia mungu amembariki na kuhitimu elimu ya chuo kikuu cha HAVARD Mama yake alikimbia kutoka africa na kwenda marekani kama mkimbizi na binti huyo alipata baati ya kusomeshwa na mfuko wa elimu wa walemavu nchini marekani.

Binti yuo sasa hivi ni mwanasheria anayejitaidi kuimarisha upatikanaji teknolojia ya watu wasio ona na kusikia.

No comments:

Post a Comment