Sunday, October 30, 2016

DOGO HAMIDU A.K.A NYANDU TOZI AMEUAGA UKAPERA NA KUFUNGA NDOA NA MREMBO HUYU.


Mkali wa michano aliyekuzwa na mkongwe wa mziki kutoka kanda ya ziwa DUDUBAYA Lakini kwa sasa anamiliki kundi lake linalojulikana kama B.O.B Jana ameuaga ukapera na kufunga ndoa na mpenzi wake wa sikunyingi.

Nyandu tozi amefanya ahadi hiyo kimya kimya bila amsha amsha yeyote na alipoulizwa kwanini amefanya ivo akadai kuwa ndoa haiitaji mbwembwe.

No comments:

Post a Comment